KPR - Klabu ya Wakulima wa Bustani > Benki ya Mbegu na Mimea

Benki ya Mbegu na Mimea ya KPR

Benki ya Mbegu na Mimea ni nini?


Benki ya Mbegu na Mimea ya KPR (SAPB) ni orodha kamili ya spishi (hifadhidata) ya mimea inayopatikana shambani au kwenye mkusanyiko wa mbegu wa KPR. Tunaweza kuzalisha na kukupatia kwaajili ya kuuza au kubadilishana spishi zote zilizorikodiwa kwenye hifadhidate yetu.

Spishi nyingi zilizorikodiwa kwenye hifadhidata yetu ziko tayari na zinapatikana kwenye duka letu kwa usafirishaji wa haraka!

Kwenye benki ya mbegu na mimea zimerikodiwa spishi zote tulizonazo katika mbegu au shambani. Hata hivyo, kwenye duka letu kuna spishi zile zinazotakiwa sana, wakati zile spishi ambazo hazivutii sana (mimea kwa ajili ya masuala ya kisayansi, magugu n.k.) unaweza kuzipata kwenye benki ya mbegu na mimea tu.

Kama unatafuta kitu kingine chochote, jisikie huru kuwasiliana nasi na fahamu kuhusu bidhaa zilizopo, bei, na taratibu za usambazaji.

Kwenye duka letu la sasa huwezi kupata spishi nyingi ambako hatukadirii kwamba watakuwa wauzaji mazuri (kwamfano spishi zinazovutia kiasi kwa ajili ya matumizi ya kisayansi, magugu n.k.). Kwahiyo, kuna Benki ya Mbegu na Mimea ambako spishi zote zinazopatikana zimerikodiwa.

Ulaya
Afrika (Malawi, Afrika Kusini)
Australia